My all time best bongo fleva list

Fid q sijamuona popote hapo au alikuwa hana hit
 
Mkuu nimependa list yako
 
Mkuu umesahau ukurasa wa pili nurah
 
YA 12 inanikumbusha mbali sana...

BTW wadau tushirikishane wap unaweza kudownload hizi ngoma!!
 
Uswahilini Matola -kosa la marehemu hakuva kondom,

Sister Siste ya Gk

na

kazeze ya OCG ,

aisee hatari sana
 
Hivi hizo nyimbo zinaishigi wapi huko? Maana hazisikiki kwenye redio wala tv, sio kwenye sherehe wala msiba, au zinaishi kwenye redio caseti? Maana hata kwenye flash huenda hazipo? KWa WALE WATAALAM WA KUTUAMIA NYIMBO ZA ZAMANI HAZICHUI, EMBU AJITOKEZE MMOJA ANIPE UFAFANUZI.
 
Me ninachokiona hapa watu wanataja nyimbo zilizohit kipindi husika, lakini kiuhalisia zilishachuja na ndio maana hazisikiki tena, NINAPOCHOKA NI PALE MTU ANAKOLEZEA ETI HIZI NYIMBO HAZITAKUFA MILELE, am like [emoji32][emoji32][emoji32] mbona kama ni kufa zilishakufaga kitambo ndio maana mnazikumbuka sasa?
 
Duh, sasa katika hali ya kawaida tu, kuna uwezekano nyimbo za mwaka 2003 zipigwe leo? Regaedless ya wasanii wote wapya waliotoa nymibo zao hivi karibuni?
 
Duh, sasa katika hali ya kawaida tu, kuna uwezekano nyimbo za mwaka 2003 zipigwe leo? Regaedless ya wasanii wote wapya waliotoa nymibo zao hivi karibuni?
Sasa maana halisi ya kusema nyimbo za zamani zitaishi milele nini? Nyimbo zipi zinakufa? Me nachojua kila wimbo huondoka na muda wake. Hata zinazotamba now with time will fade away, zitakuja mpya.na kizazi hiki kitazitambua kama nyimbo zilizotamba sanaaa. Nothing like kuishi milele!
 
Huyu fatma hakuwahi kuwa na wimbo solo?
Mbona anazo. Inasemekana ni mdogo wa Hardmad ila sina uhakika sana. Nyimbo zake solo ninazozifahamu ni:
1/. Fatma-Dibaji. (Prod. Marco Chali)
2/. Fatma Feat. Jay Moe-chozi la kusimuliwa. (Prod. Lamar)
3/. Fatma-Mwacheni atambe. (Prod. Lamar)
 
M listening to niaje mandojo domokaya na nature dah kwl siku hizi hkna music
 
Hatar
 
Dhahabu - dully sykes na blue
Hunifahamu - dully sykes
Zuwena - mr Paul
 
hiyo Rudi Rudi Mpenzi,mkuu naweza ipata?uko nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…