Niko Bize ya Jaffarai ft Daz BabaMm ngoma za enzi hizo nazozikubali ni
1:mtoto idd, ubinadamu kazi,na sonia hizi zote ni za sir nature kiroboto a.k.a kibra
2:stori tatu ___nyimbo ya jay mo
3:ice cream __nyimbo ya noorah
4:latifa__ nyimbo ya mb dogg
5:zari la mentali __prof j vs nature
6:nampenda yeye__mh temba
vs dully
7:nyammizi,salome,___dully sykes
8:mapozi__mr blue bayser
9:zeze na girlfriend ___t.I.d mnyama
10:niko busy ya jmo
1# Mtazamo Afande Sele × Prof J × Solo Thang itabaki kuwa nyimbo namba moja kwangu siku zote
Ooh haya karibu tena. Wapendwa hao wapo mbona, , utawaona tu
NimekukosaHivi kusema nimekumiss kwa kiswahili nasemaje?
Nimekukosa
Ndio mkuu mambo ya kiswahili hayo hahaha vipi unahisi kama ukimwambia mbebez hatokuelewaKwa hiyo hapo nikisema mkuu nimekukosa sana, nakuwa namaanisha kukumiss sana?
Ndio mkuu mambo ya kiswahili hayo hahaha vipi unahisi kama ukimwambia mbebez hatokuelewa
Hahaha Bora kutumia lugha ya akina Rooney tuHa ha ha, ukisema nimekukosa atadhani unamaanisha amekutosa! Anaanza kuona unakata tamaa.
Hahaha Bora kutumia lugha ya akina Rooney tu
Nimekukosa
Nakuhitaji ilikuwa ya Caz T na Sara kipingunakuhitaji Caz T na maimartha,Tamika by dully,sikiliza,she got gwan na nyingi za ngwair,
piga makofi ProfJ na sos T,Siamini TID,
Hii leooo from East Coast!
Hii raha kamili Ay na Rayc
Safi hiyo East coast,banana na rayc
na nyingine nyingi za zamani
sawaaa nshakumbuka kweli Caz t ña Sarah then penzi la ndoa ndo Caz t n maimarthaNakuhitaji ilikuwa ya Caz T na Sara kipingu
Binamu list yako nimeielewa hahaha