elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Kali sana aiseeHiyo ya tamala naikubal ajabu
Huyu fatma hakuwahi kuwa na wimbo solo?Tamala- Hardmad ft Fatma
Mmh sikumbuki vizuri honestlyHuyu fatma hakuwahi kuwa na wimbo solo?
Alifu kwa ujiti feat Jos MtamboHuyu fatma hakuwahi kuwa na wimbo solo?
Co kwako mkuu bal n kwa wote inakua ngumu kulist, Pongez kwake Majan kinywele ki1 na Master J baba Shaaa kpnd kle kwny ubora waoNi ngoma nyingi kali zimepita, ni ngumu kwangu kupanga hata 50 bora
Tamala- Hardmad ft Fatma
Hivi kusema nimekumiss kwa kiswahili nasemaje?
Ooh haya karibu tena. Wapendwa hao wapo mbona, , utawaona tu