sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
mwe dot com mie naishiaga salam tu....uko mbele nachanganyikiwaNiyimwiki mlongo, tikangamala kamwali, ndima wa vandu uwu!
mwe dot com mie naishiaga salam tu....uko mbele nachanganyikiwaNiyimwiki mlongo, tikangamala kamwali, ndima wa vandu uwu!
ee mwonile za kuyumuka..?..
MziziMkavu hii ni salamu ya Lugha yetu adhimu yenye mamlaka kwa watu waliondani ya ubongo na mtima wangu, bro nakupa hii hadhi, wengine ni Wiyelele-huyu amepotea jukwaani, Preta, tayari nishampa zake, Bujibuji tokelezea pokea zako, King'asti umepoa sana mama, snowhite-uyimwiki kamwali? Fixed Point-mlamu ayimwiki? kipipi- uvikwoki? Maboso -kangamala dadi pa ndimapa, Boflo asalam aleykhum, shemeji yangu Arusha one naingiwa na mashaka na ukimya wako, Arusha ma don wanakata kamba si masikhara, umepona? au ushamtenda sista na umeamua kujificha, kama ndo hivi basi endelezea, EMTniaje mzee, Nicas Mtei wapi shoo zako? Mtambuzi bado unavyonya kwa mama Ngina? BAK-niwekee marashi ya pemba tujimwage, Young Master vipi ishu za ujasiriamali?
charminglady-nakusalimu, lady furahia upoje, Heaven on earth-fuatilia shoo ya Kiranga, LIKUD upoje mkuu? The Boss-vipi wifi amakupiga stop kuja hapa siku hizi? unajficha zaidi ya Mungu mkuu, watu8 na platozoom wajukuu zangu hamjambo?
Nawatakieni siku njema!
Wenu-@moto2012 a.ka Mistaz Preta
hiyo twishen iko mjini au ndo nirudi songea...?Twishen ni bure, just jiandikishe tu
imekuwaje.......?Mmmmhhhhhh?????
Ni kweli, nimepotea sana hapa. Ila ni kwa vile tunafunga kazi za mwaka huu hivyo ni safari za kila wakati kukagua uhai wa mradi mikoani. Kila siku nikuandika report tu! Jamani bado nipo, hizi pilikapilika nazimaliza mwezi huu. November i will be back in full swing!
usengwili.....ngoja nijiandae kwa twisheni....Mjini utakosa misamiati na mafunzo ya vitendo (Praktiko)
Ni we nawi wa konikoni.. Basi keta nahaa tiyii tavamahele... Ni ne nani wa kolokolaee mwonile za kuyumuka..?..
mbona umeniacha njia panda.........huu u dot com unanipa shida....zaidi ya salam sijui kinachoendelea....Ni we nawi wa konikoni.. Basi keta nahaa tiyii tavamahele... Ni ne nani wa kolokola
mwalimu wangu wa twisheni .....naomba ukanitafsirie Ngalikihinja alichosema....ndo tumeshaanza twisheni ujue...Twishen ni bure, just jiandikishe tu