Mwonile wana c-c

Mwonile wana c-c

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,309
Reaction score
1,552
MziziMkavu hii ni salamu ya Lugha yetu adhimu yenye mamlaka kwa watu waliondani ya ubongo na mtima wangu, bro nakupa hii hadhi, wengine ni Wiyelele-huyu amepotea jukwaani, Preta, tayari nishampa zake, Bujibuji tokelezea pokea zako, King'asti umepoa sana mama, snowhite-uyimwiki kamwali? Fixed Point-mlamu ayimwiki? kipipi- uvikwoki? Maboso -kangamala dadi pa ndimapa, Boflo asalam aleykhum, shemeji yangu Arusha one naingiwa na mashaka na ukimya wako, Arusha ma don wanakata kamba si masikhara, umepona? au ushamtenda sista na umeamua kujificha, kama ndo hivi basi endelezea, EMTniaje mzee, Nicas Mtei wapi shoo zako? Mtambuzi bado unavyonya kwa mama Ngina? BAK-niwekee marashi ya pemba tujimwage, Young Master vipi ishu za ujasiriamali?
charminglady-nakusalimu, lady furahia upoje, Heaven on earth-fuatilia shoo ya Kiranga, LIKUD upoje mkuu? The Boss-vipi wifi amakupiga stop kuja hapa siku hizi? unajficha zaidi ya Mungu mkuu, watu8 na platozoom wajukuu zangu hamjambo?

Nawatakieni siku njema!

Wenu-@moto2012 a.ka Mistaz Preta
 
Last edited by a moderator:
moto2012 sasa mie hata salamu sijapata nimetajiwa shoo ambayo hata siijui?

Au kuna mtu anapiga shoo kwa jina la Kiranga bila hata kuomba ruhusa ya kutumia jina?

Maana naweza kuambuliwa kupigwa mawe kisa sijafika kwenye shoo, kumbe wajanja washachikichia hela zote za tiketi
 
Last edited by a moderator:
moto2012 sasa mie hata salamu sijapata nimetajiwa shoo ambayo hata siijui?

Au kuna mtu anapiga shoo kwa jina la Kiranga bila hata kuomba ruhusa ya kutumia jina?

Maana naweza kuambuliwa kupigwa mawe kisa sijafika kwenye shoo, kumbe wajanja washachikichia hela zote za tiketi

Salamu ni genaral kwa wana CC wote, heading haijakuacha, show ambayo ningependa huyu Heaven on earth aifuatilie ni ile ya " Uwepo wa Mungu", kama Mungu hayupo basi huyu bibie ni wa "kufikirika" na si halisi
 
Last edited by a moderator:
kaka usikubali!
atakuitaje binti banaaaaa!

Sina hakika kama ni Avatar, au The Boss ni mliberali, ila hafanani kabisa. Lakini hata hao waliberali kweli wanawaita wenzao mabinti? Atakuwa amepotezwa na avatar
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom