Mwongozo wa biashara ya Duka la Dawa (Pharmacy)

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,058
Reaction score
1,775
Tafadhali kwa watu waliopo kwenye tasnia ya afya kibiashara, kikazi au kitaaluma naomba kufahamu taratibu za kufungua pharmacy.
 
Kwanza Fikiria/tafuta eneo kisha mchek Mfamasia wa wilaya mweleze lengo lako na eneo unapotaka kufungua... Kama eneo lipo poa watakuruhusu kuandaa Ofisi.

Sifa za ofisi nimekutumia picha pitia hapo Kama unaswali karibu.

Baada ya kukamilisha ofisi utahitaji 1.Mfamasia/Cheti cha Mfamasia atajayesimamia Famasi yako huwa wanalipwa around 1,200,000/= kwa mwezi.
2.cheti cha muuzaji
3.Mikataba baina yenu, yaani wewe na kila mmoja wao
Hizo ndizo nyaraka zitakazotumika kuombea kubali Pharmacy council lkn baada ya kukaguliwa na Mfamasia wa mkoa..

Screenshot_20191006-101518.jpeg
 
View attachment 1224765

Natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Kwanza Fikiria/tafuta eneo kisha mchek Mfamasia wa wilaya mweleze lengo lako na eneo unapotaka kufungua... Kama eneo lipo poa watakuruhusu kuandaa Ofisi.

Sifa za ofisi nimekutumia picha pitia hapo Kama unaswali karibu.

Baada ya kukamilisha ofisi utahitaji 1.Mfamasia/Cheti cha Mfamasia atajayesimamia Famasi yako huwa wanalipwa around 1,200,000/= kwa mwezi.
2.cheti cha muuzaji
3.Mikataba baina yenu, yaani wewe na kila mmoja wao
Hizo ndizo nyaraka zitakazotumika kuombea kubali Pharmacy council lkn baada ya kukaguliwa na Mfamasia wa mkoa..

View attachment 1224765
Shukrani sana Chief.
 
Habari yanu wapambanaji wenzangu.

Ningependa kupata ufafanuzi juu ya ufunguzi wa biashara ya dawa muhimu za binadamu(pharmacy), katita vipengele vifuatavyo:-
1) Sifa ili niweze kufungua?
2) Kiwango cha pesa kinacho hitajika kupata leseni?
3)Mtaji angalau naweza anza nakiasi gan?

Nishahuku yangu kupata ufafanuzi kwa anaye
fahamu maana huku ndipo maarifa yalipo
 
Vipi connection za makampuni ya kuuza kwa jumla madawa ambayo Ina uza variates brands kwa kariakoo
 
Ukitaka kununua dawa kwa bei nafuu zaidi nunua kwa suppliers wakubwa ambao ndo wanawasambazia pharmacies kubwa za jumla kkoo.

Hua wana watu wao wanaotembea kwenye pharmacies,mahospitalini nk kutangaza dawa zao kila mkoa/kanda hivyo ukiwa na namba zao ni rahisi mno kwani unaweza kupata dawa kwa bei nafuu sababu wao ndo waingizaji na wanaowasambazia dawa hizo pharmacy nyingi kkoo.
 
Samahani, unaweza UKAWA na hizo number
 
Je ukitaka kufungua pharmacy lazima uwe na chet cha degree ya pharmacy au ata chet cha diploma unaweza kutunmia??
 
Back
Top Bottom