SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Wakuu habari za jioni. Nimesoma mwongozo wa utoaji mikopo ulioachiwa na bodi ya mikopo kwa vyuo vikuu nchini ila kuna sehemu nahisi sijaelewa.
Ni Sehemu ya kwanza, kipengele namba (vii).
Chini nimeambatanisha picha ya sehemu katika mwongozo huo.
Tafadhali msaada wakuu.
Ni Sehemu ya kwanza, kipengele namba (vii).
Chini nimeambatanisha picha ya sehemu katika mwongozo huo.
Tafadhali msaada wakuu.