MWONGOZO TAFADHALI: N COMPUTING HAIWASHI MONITORS ZOTE KASORO SERVER TU

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,026
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa baada ya muda ni kuwa zikaanza kusumbua moja baada ya nyimgine na hatimaye leo zimegoma zote kasoro server tu.
configuration yake ni kuwa server/CPU moja inapeleka monitor sita tofauti, hapa ni kuwa tano zimegoma so kazi inafanyika kwenye server tu.
Cc: CHIEF MKWAWA , ymollel , Young Master
 
sijajua ni nini N computing, ila nna swali na mimi una nini kinachopeleka signal za video kwenye hizo monitor tofauti? ni gpu? hebu anza na hapo huenda ndio kuna matatizo. sababu server ndio mama huenda ndio maana haijaathiriwa na tatizo la kipeleka signal
 
NComputing, ni kifaa cha remote connection. Unatumia computer moja kama main/server halafu kila computer nyingine inafungwa hicho kifaa (pc station) hivyo wewe kazi yako ni kuongeza Monitor,keyboard,mouse
 
Hizo nyingine ukiwasha zinaonyesha nini? Any error messages? Ni ncomputing ipi kuna L series, X Series,...
 
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa baada ya muda ni kuwa zikaanza kusumbua moja baada ya nyimgine na hatimaye leo zimegoma zote kasoro server tu.
configuration yake ni kuwa server/CPU moja inapeleka monitor sita tofauti, hapa ni kuwa tano zimegoma so kazi inafanyika kwenye server tu.
Cc: CHIEF MKWAWA , ymollel , Young Master

Duh!!! Siku nyingi sana sijatumia hii N Computing. But haraka haraka tu anza kwa kuangalia physical network connection kuanzia kwenye server, kuja kwenye switch hadi kwenye hizo clients, check kama cables zote za ethernet ziko connected vizuri na zina blink kuonyesha kuwa zinapokea mawasiliano.

Kama ukiona kwenye physical connection kila kitu kipo kipo sawa basi angalia network settings kwenye clients zako kama zimekuwa configured correctly.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom