Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

Yaan kumbe nilijua mapema, struggle zangu za uhuru wa mawazo na uchumi zikaanza mapema sana kitambo enzi za JK ,japo zimefanikiwa mwanzoni Mwa mzee wa Chato,

Juzi nasikiliza kwa makini weee,

Kwamba kwa Sasa kwenda nje ya Tanzania inabidi usaini daftari la mahudhurio aiseee dah mwafaaa,

Hapa ndo natamani nisije hata rikizo kwanza mpaka 2026 jamaa akimaliza muda wake, maana hukawii kufika akasema hata mnaoishi nje mbakaguliwa upya mkirudi,

Huyo jamaa siyo kabisa yan,

Na akiongeza muda 2025+ nahama nchi kabisa yan

Leo hii wananchi wa nchi mbali mbali wanapewa utaratibu na serikali zao kufika nje kiurahisi, sisi tuna base kwenye vijisababu vidogo vidogo kukataza watu?

Waache watu wasake ajira nje maana tangu Magufuli ameingia madarakani ajira imepungua mno, sasa anataka wapate wapi ajira wananchi?

Za kuambiwa changanya na zako
 
Kiukweli hapa mkuu kazingua
 
m! haya bwana wanasema baba mwenye nyumba hakimbi nyumba yake ikiwa inavuja ndani wakati wa mvua
 
Mkuu kyaibumba tafadhali nipe mbinu yakuipata visa ya dubai angalau ya miez mitatu,nataka angalau nkatafute kibarua pande zile mkuu.
 
Naona watu mnaangalia mambo negative sana.
Likitokea tatizo nchi ya nje uliyokimbilia bila kuaga, utalalamika Balozi zetu hazikusaidii, zinakusaidia vipi kama hawajua kama upo huko, unafanya nini, unakaa wapi?

Moja ya maana ya hii kitu ni kujua watanzania wapo wapi, wangapi, wanafanya nini. Ukikamatwa huko ubalozi uweze kukusaidia, ukiibiwa kila kitu ubalozi uweze kukusaudia. Ubalozi haupo huko kuwakilisha nchi tu, upo pia kukusaidia wewe mtanzania uliyepo huko.
Ili msaada uje, lazima wajue kuwa upo, unafanya nini na unaishi wapi.
 
Yaan kumbe nilijua mapema, struggle zangu za uhuru wa mawazo na uchumi zikaanza mapema sana kitambo enzi za JK ,japo zimefanikiwa mwanzoni Mwa mzee wa Chato,

Juzi nasikiliza kwa makini weee,

Kwamba kwa Sasa kwenda nje ya Tanzania inabidi usaini daftari la mahudhurio aiseee dah mwafaaa,

Hapa ndo natamani nisije hata rikizo kwanza mpaka 2026 jamaa akimaliza muda wake, maana hukawii kufika akasema hata mnaoishi nje mbakaguliwa upya mkirudi,

Huyo jamaa siyo kabisa yan,

Na akiongeza muda 2025+ nahama nchi kabisa yan

Leo hii wananchi wa nchi mbali mbali wanapewa utaratibu na serikali zao kufika nje kiurahisi, sisi tuna base kwenye vijisababu vidogo vidogo kukataza watu?

Waache watu wasake ajira nje maana tangu Magufuli ameingia madarakani ajira imepungua mno, sasa anataka wapate wapi ajira wananchi?

Za kuambiwa changanya na zako
Hapana tatizo watu hatujui kufuatilia habari. Hili suala limetolewa ufafanuzi. Tatizo ilikuwa dada zetu walikuwa wanadanganywa kwenda kufanya kazi nje halafu wakifika huko wanaingizwa kwenye biashara nyingine zisizo nzuri. Na baada ya hapo serikali inalaumiwa kwa kutokuwa makini na vibali vya kutoka nje.
 
Naona watu mnaangalia mambo negative sana.
Likitokea tatizo nchi ya nje uliyokimbilia bila kuaga, utalalamika Balozi zetu hazikusaidii, zinakusaidia vipi kama hawajua kama upo huko, unafanya nini, unakaa wapi?

Moja ya maana ya hii kitu ni kujua watanzania wapo wapi, wangapi, wanafanya nini. Ukikamatwa huko ubalozi uweze kukusaidia, ukiibiwa kila kitu ubalozi uweze kukusaudia. Ubalozi haupo huko kuwakilisha nchi tu, upo pia kukusaidia wewe mtanzania uliyepo huko.
Ili msaada uje, lazima wajue kuwa upo, unafanya nini na unaishi wapi.
Tatizo watu wamesha jazwa ujinga wa kupinga kila kitu kutoka serikalini bila kuwa na taarifa kamili
 
Yaan kumbe nilijua mapema, struggle zangu za uhuru wa mawazo na uchumi zikaanza mapema sana kitambo enzi za JK ,japo zimefanikiwa mwanzoni Mwa mzee wa Chato,

Juzi nasikiliza kwa makini weee,

Kwamba kwa Sasa kwenda nje ya Tanzania inabidi usaini daftari la mahudhurio aiseee dah mwafaaa,

Hapa ndo natamani nisije hata rikizo kwanza mpaka 2026 jamaa akimaliza muda wake, maana hukawii kufika akasema hata mnaoishi nje mbakaguliwa upya mkirudi,

Huyo jamaa siyo kabisa yan,

Na akiongeza muda 2025+ nahama nchi kabisa yan

Leo hii wananchi wa nchi mbali mbali wanapewa utaratibu na serikali zao kufika nje kiurahisi, sisi tuna base kwenye vijisababu vidogo vidogo kukataza watu?

Waache watu wasake ajira nje maana tangu Magufuli ameingia madarakani ajira imepungua mno, sasa anataka wapate wapi ajira wananchi?

Za kuambiwa changanya na zako
Fuatilia serikali ilimaanisha nini kabla ya kuanza kulia lia kama kadent ka darasa la 6C
 
Naona watu mnaangalia mambo negative sana.
Likitokea tatizo nchi ya nje uliyokimbilia bila kuaga, utalalamika Balozi zetu hazikusaidii, zinakusaidia vipi kama hawajua kama upo huko, unafanya nini, unakaa wapi?

Moja ya maana ya hii kitu ni kujua watanzania wapo wapi, wangapi, wanafanya nini. Ukikamatwa huko ubalozi uweze kukusaidia, ukiibiwa kila kitu ubalozi uweze kukusaudia. Ubalozi haupo huko kuwakilisha nchi tu, upo pia kukusaidia wewe mtanzania uliyepo huko.
Ili msaada uje, lazima wajue kuwa upo, unafanya nini na unaishi wapi.
kwani kuna ubaya gani kufanya hayo uliyoyaainisha bila kufanya bughudha.

Kwamba kama hauna mkataba unabaki Tanzania. kweli?

kama naenda kutafuta kazi? kama niliajiriwa nikapoteza kazi na nina permit ya hiyo nchi na kwa muda huo nimerudi bongo kisha nikatafute tena ajira.

Viongozi wetu sidhani kama wanachakata mipango wanayotaka kutekeleza wanalala wanaifikiria kesho anaitangaza.

sasa jambo dogo kama hili wanakurupuka je uchumi unaohitaji analysis ya kutosha. tuendelee kuvutana tu.
 
Tatizo watu wamesha jazwa ujinga wa kupinga kila kitu kutoka serikalini bila kuwa na taarifa kamili
Tusiwe tunatetea ukurupukaji wa hawa viongozi wetu. Ninayo clip ya Waziri na kaongea hayo maneno.

kama wamekuja kusahihisha taarifa yao bado tunatakiwa tujitafakari kama wananchi.

Je tunahitaji viongozi wakurupukaji? Juzi Nimewasiliana na mtu kazuiliwa karibia nusu saa anaulizwa mkataba. haya mambo mnayaona madogo ila yanaathari kubwa saana.
 
Back
Top Bottom