Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji


Mkuu suala la kuteketeza familia, nimelitumia kama mfano, kwasbb watu wengine upenda kwenda kwa waganga, kwa bahati mbaya waganga hao uwapa masharti ya kutoa mtu ampendaye kama kafara. wengi wetu wameumia sn katika hili. ukubali kula viapo ila badae ushindwa kutimiza mashart. nadhan umenielewa. suala la pesa za kuanzia siwezi kulizungumzia sana kwa sabb kila mtu ana mtaji wake. ila kwa dondoo ni vyema mtu anayefanya ublocka kama nguvu ni ndogo sana angalau 1,000 dollar kwa kuanzia,kumbuka jiwe ni aidia siyo mtaji mkubwa sana kama watu wafikiriavyo.

Kwa kupeleka Thailand ni wewe kulitathimini jiwe pesa unayo weza kuipata kwa kuuzia uko, baada ya apo tuo gharama za nauli ya ndege na zinginezo. ukiona faida hipo ila ni ndogo ni bora ukauza hapa apa tz au mutopwezi. ila watailand wa Mutopwezi wengine wananunua kwako wanaenda kuuza Thailand kwa hela nyingi.
 
la Felix umenifurahisha sana,huna uchoyo kama wengi walivyo wachoyo,unakuta mtu anapeleka mzigo nje au anafata mzigo nje ukijaribu kumwomba akupe ramani anakukwepa na urafiki unaishia hapo.
somo ulilotoa ni zuri na umelichambua kisomi zaidi,aisee unatisha kwa kujieleza
 
Mkuu ubarikiwe sana...hivi kwa hapo bongo madini ya Ruby hayapatikani kweli.
 
Uzuri wetu sisi wabongo tunapendana sana na kila ktk mafanikio watu hupenda kushirikisha wabongo wowote wale,mfano mimi pamoja na rafiki mwengine wa kibongo mara ya kwanza tunaingia nchi fulani north America ,kwanza tulikutanishwa na wabongo na halafu ndio tukapatiwa mitikasi yenyewe ya namna ya kuishi na namna ya ku-survive north America,mambo yalikwenda sawa had not for wabongo wenzetu sijui hii leo ningekuwa wapi,labda ningekuwa nyumbani ujiji navua dagaa...(joke).Wbongo tunapenda kunufaishana sana na ndio maan baadhi ya majirani zetu huwa wana chuki nasisi na kutushutumu kuwa sisi ni wakabila sana,kitu ambacho mimi hakinitishi kabisa lakini shutuma hizo zingekuwa ni kuhusu udini hapo pangekuwa ni mahali pabaya sana ,yaani shutuma zinazolenga masuala ya kiimani hiyo ingekuwa ni aibu sana kwa taifa letu.Ninaye rafiki yangu mmoja mbongo tena ni mtoto wa kiongozi mmoja mkubwa wa dini Tz aliwahi zamani jaribu safari za huko kusini mwa Afrika nafikiri ilikuwa Msumbiji na alipatwa na dharura flani na ilichukuwa muda mchache baada ya kuwapata jamaa wa kibongo na mambo aliyofanyiwa mpaka hivi leo kashindwa kusahau kabisa na kila nikikutana naye mara nyingi huleta story ya mkasa uliomkuta south na jinsi wabongo walivyojitokeza ili kumsaidia wengine hata alikuwa hawafahamu kabisa lakini what matters was damu ya bongo,sjui ni kitu gani unique kinachotufanya tuwe na mapenzi wenyewe kwa wenyewe namna hii,hilo namuachia m/mungu mwenyewe labda ni jinsi alivyotuumba na genetical tunavimelea ambavyo ni unique sana.Tena namalizia kwa kumpongeza sana jamaa yetu kwa kujitokeza na kutuwekea blue print zima kuhusu biashara ya kuuza mawe.m/mungu atamzidishia imani na kipato chake,wote mbarikiwe M/Mpamba End.
 

Capital ya ruby unaweza kuanzia na tshs ngapi??
 

Dhahabu wastani kwa gharamu mnunua kwa kiasi gani au tora kiongozi??
 
Last edited by a moderator:
. misasa tanzania kununua dhahabu ni 60000 hadi 65000 kwa grm
 
Last edited by a moderator:
mtaji wa kununua ruby haina hela maalum ya kununua ruby....unaweza ukawa na 3mln au 4mln ukajikuta unanua mawe ukapiga hela nzuri..siri ya gemstone ni ujue kununua na kuuza (soko)
 
Dhahabu wastani kwa gharamu mnunua kwa kiasi gani au tora kiongozi??

Kwa mijini gramu hueda 1.200-1.300MT fanya mara 50 kupata kwa Tsh.....ila ukiingia maporini hushuka sana...
 
Umekubalika mkuu..ila hapo kwenye misosi...panya na konokono itakuwa shedaa...
 
Soko la tz..linakuwaje kwa fine ruby...coz others wasema mozambique ndo wanapay gud..tupe mwongozo mkuu
 
Kwa motpwez town..hakuna hao buyers hadi kufika huko machimboni..
 
Kk..vipi kuhusu kutoka kwa mawe..pia nmeskia sa iz police wanashusha kichapo hevi..kwenye eneo la machimbo...ss sijui ndo inakuaje
 
mtaji wa kununua ruby haina hela maalum ya kununua ruby....unaweza ukawa na 3mln au 4mln ukajikuta unanua mawe ukapiga hela nzuri..siri ya gemstone ni ujue kununua na kuuza (soko)

mate daadangu alianza kimza aisee tena wanakuja na watu wanasafishia hme dili bomba

hong kong utantafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…