mi nafaham bei ngoja nkujuze,kwanza kama wataka kuona local channels(itv,capital,ch 5,ch 10,tbc,star tv,tv imaan tv moqambique)yakubidi uwe na dish kuanzia ft 6 na kuendelea,itakubidi uwe na vifuatavyo,C band lnb = 10000,receiver(yaeza kuwa media com,eurostar,strong) = 60000 kama ni mpeg 2,dish (eurostar,gulf star) = 110000-120000,kadri unavyoongeza c ba band ua ku band,channel zaongezeka,ila hiyo gharama nlokutajia,ni kwa ajili ya channeli za nyumbani tu,na dish la ft 6,dish likiwa kubwa gharama yaongezeka,kila la kheri kaka