ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,248 Reaction score 1,745 Jul 1, 2013 #1 Dogo anafundishwa hesabu na mama ake. Mama: mwanangu njoo nikufundishe hesabu Dogo: thawa mama Mama: mfano shangazi akikupa maandaz 2, kisha akikupa tena maandaz mawili, jibu litakuwa lipi Dogo: athante thangazi Attachments 1001338_10151694896678491_1472748377_n.jpg 14.4 KB · Views: 573
Dogo anafundishwa hesabu na mama ake. Mama: mwanangu njoo nikufundishe hesabu Dogo: thawa mama Mama: mfano shangazi akikupa maandaz 2, kisha akikupa tena maandaz mawili, jibu litakuwa lipi Dogo: athante thangazi
P Paperchaser Member Joined May 4, 2013 Posts 52 Reaction score 5 Jul 3, 2013 #2 ooooh wow i luv this kido hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,937 Jul 3, 2013 #3 ha ha ha ha ha ha ha haaaa