Mwonekano wake unaongea mengi

Anasubiri huruma ya Bosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Atakojoa mchicha!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi alivyopanda ngazi kwa kasi still alipoangukia si haba, zaidi alichopoteza ni maamuzi na ushawishi kwenye serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…