Mwl Nyerere

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
"Leo wakati nikitafakari deni letu kwa Dowans nimemkumbuka Mwalimu. Angekuwepo Mwalimu Nyerere hakika asingetafuna maneno katika hili la Dowans. Angesema neno moja tu; HATULIPI!"
Global Publisherstz

Sometimes nikikumbuka vijimaneno vya huyu mzee nacheka sana.
 
Inasikitisha tunajifanya tuna-mkumbuka na kumuenzi kila octoba ilihali inapokuja kutekeleza kwa vitendo yale aliyoyaamini na kutuachia hatufanyi hivyo. Wa kwanza katika kukinzana na mawazo ya mwalimu ni Kikwete. Lowasa simlaumu sana maana yeye alielekea kumkaidi toka akiwa kwenye serikali yake.
 
kwa hakika tulijuta,tunajuta na tutaendelea kujuta kwa kumkosa baba wa taifa kwa kipindi hiki maana sasa kila jambo alilokuwa analikemea kwa nguvu zake zote kama ni maouvu ambayo hayapaswi kufanywa na viongozi yamegeuka kuwa mena na ya kuchekelewa ilihali ni msiba na mzizo kwa mahohehahe sisi tusio na nguvu dhidi yaho! Kwa hakika mwl alipaswa kuwepo ili kujionea maovu haya...naamini fimbo yake ingetumika kuwaonya wakengeushi hawa!:A S 27:
 
Back
Top Bottom