Tetesi: Mwl Nyerere Vs Hayati Moringe sokoine

Mzalendo92

Senior Member
Dec 29, 2014
177
5
Kuna makala nilisoma ilieleza kuhusu mgogoro wa mwalimu na Moringe naomba kujua ukweli jambo hili
asante
 
Nilisikia ya kuwa kifo chake kilipangwa,maana hata dereva aliyesababisha ajari hakufungwa/wala kufikishwa katika vyombo vya sheria,ukweli upoje mkuu?.....
 
Back
Top Bottom