Leo katika mjadala wa elimu kuboresha elimu inayoendelea kumomonyoka kwa kasi kubwa nchini, nimemsikia Prof. Mkenda. Amemenukuu Mwalimu kwa kusema mfumo wa elimu ya kikoloni uliwanufaisha Wahaya, Wachaga, na Wanyakyusa na kwa kuwa kulikuwa na wamisionary. Kisha mwalimu alisema hali hii lazima ibadilike.
Maoni yangu: Kwa mawazo ya mwalimu ilimpelekea kutaifisha shule zote za kanisa. Hii si ni kuonyesha kuwa mwalimu aliishi katika yale aliyoyasema?Wale wanasema mwalimu alidekeza haya wanasemaje?
Maoni yangu: Kwa mawazo ya mwalimu ilimpelekea kutaifisha shule zote za kanisa. Hii si ni kuonyesha kuwa mwalimu aliishi katika yale aliyoyasema?Wale wanasema mwalimu alidekeza haya wanasemaje?