Nimesikia kwamba Mwl. Nyerere alipata kuunga mkono jimbo la Biafra kule Nigeria kujitenga na serikali kuu.
Naomba kujuzwa alikuwa na hoja gani kuunga mkono hilo, ikizingatiwa kuwa alikuwa muumini mzuri wa umoja wa Afrika!
Tafuta kwenye hifadhi ya JF majadiliano ya suala hili kwani ni kitu tulichokijadili sana huko nyuma.
Uongo mtupu kabisa. Ule mgogoro haukuwa wa kidini.Ndio maana mpaka leo nyerere hana jina zuri Nigeria. hapa marekani ukikutana na wa nigeria wao huzania kuwa nyerere bado mtawala mpaka leo. wana usemi kuwa nyerere alikuwa conservative sana mpaka mtoto wake alikuwa anakwenda peku peku shuleni! Msimamo wa nyerere kuhusu Biafra ulikuwa mzuri sana.
Yakubu Gowon anajutia kuwapiga vita wa biafra maana sasa hivi ona Boko haram inavyowatesa wakristo huko Nigeria. Hii ndiyo sababu Nyerere alitaka south Nigeria iwe huru na ule udini wa North nigeria.