Mwl nyerere kumsaidia kabila kushika dola!!!

Ndiyo. Delegation yao ilifika hapa Msasani,na nakumbuka kumsikia Mwalimu ansema ''Oh,so you want to give me a step by step account of what you want to do there? That's okay with me.'' [Yaani,Mwalimu alifurahi walipomwambia kwamba he would not just be watching it on TV,they would come to him for advice]all throughout the march to Kinshasa walikuwa wanawasilana na Mwalimu alikwenda katika meetings zao,especially the last one in which Mobutu came in a wheel chair to hand over power to Laurent Kabila. Mobutu was in a wheel chair. Kwa hiyo hawa watu they just took power from a decrepit man.

Una hakika Mobutu ali "handle in power?"
Nijuavyo, Mobutu alikimbia nchi kina Kabila walivyoingia Kinshasa!
 
Nadhani wengi wenu mmezaliwa juzi hapa hamjui historia ya Tanzania na Congo. Ukweli ni kwamba Raisi wa kwanza wa Congo DRC, Patrice Lumumba, alikuwa kipenzi cha Nyerere kwa kuwa na mtazamo sawa na Nyerere uliolenga kwenye misingi ya ujamaa (sio ukomunisti). Lumumba alikuwa ni viongozi wa walioweka sana maslahi ya waafrika mbele na waliopinga kuyumbishwa na mataifa ya kizungu.

Marekani walimuona kama mwenye mwelekeo wa kikomunisti, na kwa kumtumia Mobutu, alieyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zaire wakati huo, CIA walimuua Lumumba kifo cha kikatili sana na Mobutu kuwa raisi wa Zaire.

Kabila alikuwa kiongozi wa karibu sana na Lumumba (waziri kiama sikosei). Hivyo kabila na wenzake fulani walikimbilia Tanzania ambako Nyerere aliwapokea na kuwapa hifadhi, pamoja na nyumba za kukaa. Nadhani pia walikuwa wakipewa living allowance na serikali kwa muda waliokuwa Tanzania. Mwanzoni waliishi nyumba za serikali, baadaye walikuwa na nyumba zao wenyewe.

Kipindi fulani ilionekana kama Mobutu ameanza kuwa mtu mwema, hivyo aliwaambia kina Kabila warudi nyumbani Zaire ili washirikiane kuendeleza nchi. Nyerere aliwaambia kinaKabila msimwamini huyu mtu. Mwenzake kabila (jina nimelisahau) aliyekuwa pia anafadhiliwa na Tanzania aliamua kurudi Zaire, ambako kama Nyerere alivyokuwa amehisi, aliishia kuuwawa na Mobutu.

Hivyo Kabila aliendelea kukaa Tanzania hadi kipindi ambacho Nyerere alikubaliana naye kwamba kilikuwa wakati muafaka wa kuanza mapamabno rasmi kumtoa Mobutu. Wakati huu Nyerere hakuwa raisi, ila ni kweli alifanya kila awezacho kumsaidia Kabila katika ku-mobilize na kuanzisha mapambano dhidi ya Mobutu. Inasemekana Nyerere alimwezesha Kabila kijeshi kwa kuwatumia kina Kagame na Museveni. Sidhani kama askari wa JWTZ walihusika moja kwa moja katika vita - labda kwa ajili ya logistics tu.

Hatimaye Mobutu aliondolewa. Na kweli Nayerere akawa viongozi wa kwanza kualikwa na Kabila kutembelea Zaire iliyokombolewa. Nyerere akaendelea kumpa Kabila ushauri mablimbali, pamoja na kumwambia akatae kulipa madeni ya nje yaliyoachwa na Mobutu kwa kuwa hizo fedha hazikusaidia Wa-Zaire bali ziliingia mfukoni mwa Mobutu.

Unfotunately Kabila aliuwawa tena, na kwa mara nyingine inaonekana kama CIA/Marekani walihusika. Mfukoni mwa kijana aliyemuua Kabila kulionekana business card ya aliyekuwa military attache wa ubalozi wa Marekani pale Kinshasa, ambaye alikuwa Kanali mwanamke. Huyu military attache aliondoka Zaire siku hiyo hiyo Kabila alipouwawa.

Pamoja sikuwa na akili wakati huo. Lakni ni kweli CIA killed Lumumba, and later killed Kabila. Nakubaliana na hoja zote kuwa Tanzania ilimsaidia Kabila. Pia hata hivyo, tunaheshimika sana katika medani za utetezi na ukombozi barani africa.
When i look at Kagame, i see part of Mwl Nyerere. These are true African patriotic.
God bless them
 
Una hakika Mobutu ali "handle in power?"
Nijuavyo, Mobutu alikimbia nchi kina Kabila walivyoingia Kinshasa!

H e handed over power. I got it from the butler aliyefuatana na Mwalimu,ndiye amesema.''Mobutu wasthere on a wheelchair''
 
H e handed over power. I got it from the butler aliyefuatana na Mwalimu,ndiye amesema.''Mobutu wasthere on a wheelchair''

Kamanda Mobutu inasemekana alikimbia baada ya maji kufika shingoni na kihulka Mobutu sidhani kama angeweza kutoa madaraka kwa mtindo unaosema.I stand to be corrected.
 
Kuna kitabu kimoja ameandika Gerald Prunier (From Genocide to Continental War: The "Congolese" Conflict and the Crisis of Contemporary Africa) kimeelezea kiini cha Nyerere kumpendekeza Kabila. Kwa mujibu wa Gerald hii ilitokana na kutokubaliana kati ya Museveni na Kagame juu ya mtu wa kuongoza 'political' side ya mapambano ya kumng'oa Mobutu. Kwa hivyo hata yeye Kabila alikaa pale kama kibaraka tu wala hakuwa na influence yeyote kisiasa wala kimapigano.
 
Kuna kitabu kimoja ameandika Gerald Prunier (From Genocide to Continental War: The "Congolese" Conflict and the Crisis of Contemporary Africa) kimeelezea kiini cha Nyerere kumpendekeza Kabila. Kwa mujibu wa Gerald hii ilitokana na kutokubaliana kati ya Museveni na Kagame juu ya mtu wa kuongoza 'political' side ya mapambano ya kumng'oa Mobutu. Kwa hivyo hata yeye Kabila alikaa pale kama kibaraka tu wala hakuwa na influence yeyote kisiasa wala kimapigano.

How credible is the author?sio Mwanakijiji, anaamka anaandika alichoota. Nitapata wapi? Kitabu hiki
 
How credible is the author?sio Mwanakijiji, anaamka anaandika alichoota. Nitapata wapi? Kitabu hiki

Credibility yake italingana na hoja utavyozipima mwenyewe, lakini cha zaidi Gerald alishaongea directly na Museveni na Kagame kuhusu mambo mbalimbali, kwa hivyo hilo la Kabila haliwezi kuwa siri kubwa. Kikubwa zaidi ni kujua kuwa hata Kabila alipoona hana 'political base' wala 'military units' loyal to him aliamua kujielemeza kwa 'Kadogoo' chini ya Masasu. Angali documentary ya Aljazeera ya 'Murder in Kinshasa' utapata mwanga zaidi.
 
Hii philosphy ya mwalimu niliipenda sana ya kuandaa maraisi wa nchi zinazokuzunguka otherwise anaweza tokea raisi kichaa mipaka yetu ikawa haikaliki
Ila Mwalimu aliisahau Malawi na Kenya kwenye ili
 
Kuna kitabu kimoja ameandika Gerald Prunier (From Genocide to Continental War: The "Congolese" Conflict and the Crisis of Contemporary Africa) kimeelezea kiini cha Nyerere kumpendekeza Kabila. Kwa mujibu wa Gerald hii ilitokana na kutokubaliana kati ya Museveni na Kagame juu ya mtu wa kuongoza 'political' side ya mapambano ya kumng'oa Mobutu. Kwa hivyo hata yeye Kabila alikaa pale kama kibaraka tu wala hakuwa na influence yeyote kisiasa wala kimapigano.

Asante mkuu kwa kutuongezea nyanga za kupanua uelewa wetu hasa mambo mengi ya eneo la maziwa makuu.
 
Kamanda Mobutu inasemekana alikimbia baada ya maji kufika shingoni na kihulka Mobutu sidhani kama angeweza kutoa madaraka kwa mtindo unaosema.I stand to be corrected.

Nimeshasema,yule butler wa Mwalimu aliyekuwa anaongozana nae kila safari ndie aliyesema,''Mobutu alikuwepo,he was on wheel chair,wameongea,wameelewana vizuri sana.''
 
Historia ya mkono wa Mwl. J.K Nyerere na Tanzania katika siasa za Afrika:

The late President Laurent Kabila of the Democratic Republic of Congo also lived in Tanzania for more than 20 years since the sixties after the assassination of Patrice Lumumba, his hero, and even owned houses in Dar es Salaam where he was also known by different aliases, prompting his neighbors and other people to suspect that he was a government agent.

His son Joseph Kabila who succeeded him as president was born and raised, and attended school in Dar es Salaam and in Mbeya, Tanzania. In fact, many Congolese refused to accept him as their leader when first became president because they saw him as a foreigner, a Tanzanian, who did not even speak Lingala or French, the main languages spoken in Congo, but instead spoke only English and Kiswahili, Tanzania's national language, although Kiswahili is also widely spoken in Congo.

President Robert Mugabe also lived in Tanzania and Mozambique during Zimbabwe's liberation war. So did Dr. Agostinho Neto, the first president of Angola, and Sam Nujoma, president of Namibia, and many of their colleagues in government.

I remember interviewing Sam Nujoma in 1972 at the office of his liberation movement, the South West African People's Organization (SWAPO), on Market Street in Dar es Salaam, only a few minutes' walk from our newspaper office on Azikiwe Street and from the offices of three other liberation movements: Zimbabwe African National Union (ZANU), Popular Movement for the Liberation of Angola (MPLA), and the Pan-Africanist Congress (PAC) of South Africa.

Many other leaders found sanctuary in Tanzania. They include those from the Seychelles and the Comoros, two island nations on the Indian Ocean east and southeast of Tanzania, respectively; and President Yoweri Museveni of Uganda who attended the University of Dar es Salaam and lived in Tanzania for many years and who - after he became president - continued to express profound respect and admiration for Nyerere whom he acknowledged as his mentor.7

They include many who became leaders in Rwanda, Burundi, Ethiopia, Eritrea, Somalia, Sudan, Ghana, Nigeria, Guinea, Congo, Zambia, besides those in southern Africa - Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia, South Africa - and other countries. Even Che Guevara spent months in Tanzania. He was in Dar es Salaam for about four months from November 1965 to February 1966, besides the time he spent in the western apart of the country during his Congo mission.

the late distinguished Professor Claude Ake from Nigeria who died in a mysterious plane crash in his home country in 1996; Professor Okwudiba Nnoli, also from Nigeria (secessionist Biafra); Professor Mahmood Mamdani from Uganda and one of Africa's internationally renowned scholars; NathanShamuyarira who - while a lecturer at the University of Dar es Salaam - was also the leader of the Dar-es-Salaam-based Front for the Liberation of Zimbabwe (FROLIZI) headed by James Chikerema, a Zimbabwean national leader. Shamuyarira went on to become Zimbabwe's minister of foreign affairs, among other ministerial posts. Many other prominent scholars from many countries around the world, and from all continents, were also attracted to the University of Dar es Salaam.
Sources: Godfrey Mwakikagile, "NYERERE AND AFRICA: END OF AN ERA: EXPANDED EDITION
Julius Nyerere - SouthAfrica.com Discussion Forum
 
Mtazamo, mambo ya Mkapa na mahusiano yake na viongozi wengine wa Afrika we acha tu. Labda Comorro, ambako hata hivyo Nyerere alikuwa ameshaweka foundation. Mkapa alikuwa na tatizo moja, thinking alikuwa as intelligent as, or even more intelligent than Nyerere, na pia the most intelligent president in Africa. Nadhani utaona wazi kwamba alikuwa na assumption kwamba he was more intelligent than all other Tanzanians. Ninaamini ilifika mahali Nyerere ali-regret kum-support Mkapa kuwa raisi wa Tanzania. Lakini pia Nyerere was very disappointed na Mwinyi. That was Nyerere, mzalendo wa Afrika to the inner core.

Bila shaka ndio Mkapa anapenda kusema watanzania ni wavivu wa kufikiri tena ana nano lake la kiingereza kwamba ni "lack of thinking capacity or capacity thinking".

Huyo ndio Mkapa.

Halafu mkuu inaonekana unamfahamu vizuri mzee huyu, je alipokuwa anakwenda pale Palm Beach Hotel kupata moja moto na moja baridi na sio Ettiens ambayo ilikuwa ikitazama nyumba yake, alikuwa na marafiki wa aina gani? maana alikuwa akionekana na mtu wa kivyake na Mercedes benz lake jeusi la wakti ule akiwa foreign.
 
Back
Top Bottom