Mwl Nyerere aliona Mbali sana kuhusu Kikwete na Lowasa kwa sasa sote tu Mashahidi

Mwl Nyerere aliona Mbali sana kuhusu Kikwete na Lowasa kwa sasa sote tu Mashahidi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Kwa hali ilivyo na mambo yanavyokwenda ni sahihi kabisa Nyerere kuitwa baba wa Taifa alikuwa na maono ndiyo maana hotuba zake zote utazani kaziongea hivi karibuni na zitaendelea kushangaza wengi.

Marais wengi wamepita lakini hakuna mwenye wosia unaoshi kama Mwl Nyerere huyu mzee alikuwa hazina kwa Taifa.

Nasikia Mwl Nyerere aliwakataa lowasa na Kikwete kama.vijan wahuni na wafujaji pesa na pengine aliona kama viongozi hatari kwa maslahi mapana ya taifa hili.

Sasa ni dhahiri taifa chini ya Kikwete lime paralyse hana maaada bali anazidi kulididimiza.na kuligawa vipandevipande hakuna umoja wa kitaifa tena ufisadi umetawala watu wengi wanashi katika umaskini wa kutisha huku huduma za kijamii zikidumaa.

Kipimo sahihi cha utendaji wa familia ya kikwete ni hapo chalinze jimbo lipo nchini yao kwa miaka zaidi ya 30 lakini pamedumaa hatari huyu mzee hana vision ni tapeli na mbinafsi mkubwa huwezi amini kama pametoka Raisi wa nchi hapo.
 
Back
Top Bottom