HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Na ndivyo inavyo takiwa...ukiona kitu hakikufai achana nacho... Mimi huyo unae muamini hata kwa bahati mbaya siwezi mfatilia....hata kwa bahati mbaya narudia tena...na maisha yanasonga...ila siwezi mkosoa maana nafahamu kizuri na kibaya na utendaji wakeNilikua namfuatilia zamani ...ikafika mahala nikaona ...inahubiri historia...na sio experience
Not meant for you wengine wanamuelewaJamaa simuelewagi kabisa mafundisho yake...is like...mtu ambae kasoma kitabu cha THINGS FALL APART afu anakuja kutusimulia kilichoandikwa kwenye hicho kitabu kwà kutumia Akili yake.
Nakutabiria...siku si nyingi nawe utaanza kuhudhuria kawe...nakuona ukinywa Mafuta na Maji....nakuona ukiwa unafuatilia KONGAMANO LA UKOMBOZI WA NYAYO ZA MIGUUNa ndivyo inavyo takiwa...ukiona kitu hakikufai achana nacho... Mimi huyo unae muamini hata kwa bahati mbaya siwezi mfatilia....hata kwa bahati mbaya narudia tena...na maisha yanasonga...ila siwezi mkosoa maana nafahamu kizuri na kibaya na utendaji wake
Hahahaa kumbe upo kulinganisha hayo.... Sawa... Kumbuka kutokana na ugumu ulivyo watu wengi wanafata miujiza..... mwisho wa siku muda utasema...na kuna wengine wanataka kuifahamu kweli basi.Vipi kuhusu nyomi? Check la Mwamposa....daah kama la Yesu kabisa yani!
Nani mtenda miujiza?? Utasikia watu " YESU"
Na wewe nasema pokea watoto mapacha!!!! AYAYAYA!!!!
Huwezi kunitabiria vitu kama hivyo... Mungu yupo kila mahali akiamua kujibu hitaji lako atajibu kwa wakati wake sio kwa kumlazimisha na cake za kulipia na maji..... Injili ipi hiyo yesu aliifanya kwa style yenu hiyo!?!?Nakutabilia...siku si nyingi nawe utaanza kuhudhuria kawe...nakuona ukinywa Mafuta na Maji....nakuona ukiwa unafuatilia KONGAMANO LA UKOMBOZI WA NYAYO ZA MIGUU
Anataka kumkweza mtu wake na kumshusha mwingine kwa style ya propaganda.....Mleta mada unaleta uchonganishi na Ushindanishi usio na tija kwa kanisa,hao wote ni Watumishi wa Mungu,Kichwa cha Kanisa ni Yesu.
Hizi sio timu za Simba na Yanga kutafuta mshindi hatupo huko,unakosea sana
Kwà YESU watu walikua wakifuata nini? Cause wengi walikua hawamuelewi kwà lugha aliyokua akiitumia....( Lugha ya mafumbo na lugha ya mifano)Hahahaa kumbe upo kulinganisha hayo.... Sawa... Kumbuka kutokana na ugumu ulivyo watu wengi wanafata miujiza..... mwisho wa siku muda utasema...na kuna wengine wanataka kuifahamu kweli basi.
Kama wewe upo huko kwa ajili ya Mungu kweli haya uliyo yaleta sijui umeyatoa kwa roho yupi alie ndani yako
Wataendaje wasipo pelekwa!?!?Wote wapigaji tu,wambie wafanye hayo mahubiri bila sadaka uone kama watafanya. Pesa ndo inawamotivate.
Watumishi wa Mungu hawaoneanagi miwivu ya sadaka, au miwivu ya kufukuziana kondoo.Mleta mada unaleta uchonganishi na Ushindanishi usio na tija kwa kanisa,hao wote ni Watumishi wa Mungu,Kichwa cha Kanisa ni Yesu.
Hizi sio timu za Simba na Yanga kutafuta mshindi hatupo huko,unakosea sana
Na hutokaa umuelewe.. wenye akili pekee ndio wanaomuelewa[emoji41]Jamaa simuelewagi kabisa mafundisho yake...is like...mtu ambae kasoma kitabu cha THINGS FALL APART afu anakuja kutusimulia kilichoandikwa kwenye hicho kitabu kwà kutumia Akili yake.
Tatizo we mbishi sana. Afu sikua najua kama wewe ni Muha wa Kigoma!Huwezi kunitabiria vitu kama hivyo... Mungu yupo kila mahali akiamua kujibu hitaji lako atajibu kwa wakati wake sio kwa kumlazimisha na cake za kulipia na maji..... Injili ipi hiyo yesu aliifanya kwa style yenu hiyo!?!?
Anakosea mno,Hapo hamtukuzi Kristo bali shetani,hizi sio timu za Diamond na Alikiba kwamba nani zaidi,kila mtumishi ana wito wake,halafu anaongea kitu hata ushahidi hajawekaA
Anataka kumkweza mtu wake na kumshusha mwingine kwa style ya propaganda.....
Wengi waliosema Mwamposa ni freemason , walirudi na kuomba msamaha.Huwezi kumfananina MWAKASEGE na MAWAKALA WA SHETANI koma kabisa na ushindwe
Na huduma ya yesu walilipa kiasi gani??Kwà YESU watu walikua wakifuata nini? Cause wengi walikua hawamuelewi kwà lugha aliyokua akiitumia....( Lugha ya mafumbo na lugha ya mifano)
Hivyo akaamua kutumia miujiza , ishara na maajabu ili kuwaponya watu, kuwapumzisha watu kutoka kwenye vifungo vya maisha.
Wewe kwà Mwakasege unafuata nini? Stuka mwanangu before it's too late!