Mwizi mbunifu

Mwizi mbunifu

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Mwizi alimuona alimuo tajiri mmoja akizikwa na v2 vingi vya thaman,akajsemea kimoyo moyo:ucku nakuja kuliiba hlo jeneza lote,basi gza lilipofka akaenda kuiba lile jeneza,wkt amelibeba yupo njian akakutana na doria ya police,alipowakarbia akaanza kuzungumza kwa saut,"mimi niliwaambia wanizikie morogoro wao wamenizkia dar"naenda morogoro mwenyewe,police kuckia hvyo wote wakatimua mbio.
 
hahahahaah hii kali mkuu,thanks
 
Back
Top Bottom