Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani nikaona cm chini ikiimba ?nibebe nibebe nibebe nibebe nichukue mikononi mwako niwe salamaaa!``. basi na mimi nikaibebe.**chungeni sana ringtone za cm zenu.**