Kisayansi huyo jamaa Mwili wake hasa ngozi ina melanin za asali na nta(wax) hivyo Nyuki huvutiwa navyo.Nawasubiri kwa hamu Wanasayansi wa JF, watueleze sababu za hao nyuki kumganda mtu, Kisayansi inasababishwa na nini?
Nyufa za CCMUnamaanisha nn mkuu
Hahahahahaaaaa.....!Kisayansi huyo jamaa Mwili wake hasa ngozi ina melanin za asali na nta(wax) hivyo Nyuki huvutiwa navyo.