Uko sahihi kabisa Waitara anajisifu kuisambaratisha chadema ukonga badala ya kujisifu kwa kutimiza yale aliyoahidi kwa wanaukonga ukianzia mombasa,moshi bar,kwa diwani,mkoremba ni mashimo matupu njoo gongo la mboto ,majohe ni mashimo matupu,zunguka kivule ,msongola pote ni mashimo matupu