Mwita Waitara acharuka Bungeni asema Kama kuna Masharti ya Ushoga hatutaki Misaada yao mura!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,485
147,239
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki

Mwita Waitara alionekana ni mwenye hasira kali sana kiasi kwamba Mbunge wa pembeni yake alikuwa anatetemeka

TBC
 
Wazungu wqnatambua hilo ya kwamba Tanzania haipatani na uovu huo, hata walipojaribu kumtumia kibaraka wao juu ya haki za kifaragha lilishindikana mazima.
 
haimsaidii, 2025 anakwenda na maji labda magufuli arudi amnunue tena
 
Hayo mashart yanamweka mtu masikin sehem mbaya sana, serikali haina ubavu wa kukataa shida ziko shingoni kule upande wa afya miradi nyeti kabisa kama mama na mtoto, malaria,chanjo, HIV,TB na tafiti mbalimbali ziko chini ya wahisani.
 
Ushoga wasiwasingizie waZungu
Mashoga/ushoga upo tz na tunaishi nao
Huko kwenye media,burdan za miziki nk mashoga wamejaa topp

Ova
 
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki

Mwita Waitara alionekana ni mwenye hasira kali sana kiasi kwamba Mbunge wa pembeni yake alikuwa anatetemeka

TBC
Huwezi tenganisha ccm na ushoga,huyo ni debe tupu watamweka pembeni
 
Uzuri bongo wataalam wa kula na kipofu , watazitafuna hizo pesa na mengine yatabaki maigizo kama siasa za vyama vingi, wahuni walitaka tu kula pesa za wazungu baadae wakaanza script yao ya vyama vingi ila wakahakikisha chama kilekile kinabaki
 
Wazungu wqnatambua hilo ya kwamba Tanzania haipatani na uovu huo, hata walipojaribu kumtumia kibaraka wao juu ya haki za kifaragha lilishindikana mazima.

Atakuwa alikwishapiga K-Vant za kutosha.

Hasara ya kuwa na wabunge walevi. Mtu anaanza kuoiga kelele juu ya kitu ambacho hata hakipo. Labda pomve zimempelekea kuona na kusikia yasiyokuwepo.

Hatujawahi kuamviwa tuwe mashog, kama sharti la msaada au mkopo. Waitara kweli ni mwehu!!
 
Vituko.

Mashoga na makahaba ulaya wanalipa kodi.

Kama hamtaki masharti basi msiende kuomba hela zao manaa zina sehemu ya watu waliofirwa na makahaba.

Unasema wewe ni muislamu, kitimoto huli ila supu ya kitimoto unakunywa.

Nyie kila siku mko ulaya kuwalamba makalio viongozi wao wawape misaada na mikopo halafu wakiwapa masharti ya walipakodi wao hamtaki, hela zao mnataka za nini? Acheni kuwaomba hela.
 
Back
Top Bottom