Kuna jamaa yangu wanamfuatilia wakati Hana chochote anachomiliki kati ya vile wanavyovifuatilia😫
Kila siku wanamdhalilisha tu kwa kumtangaza kwa watu kuwa wamempaka mafuta na kumlawiti. Huyu jamaa yangu yupo Arusha.
Kuna wakati huwa nasema Bongo bahati mbaya ukimiliki Mali ni shida na usipomiliki pia ni shida. Kikubwa ni kuridhika na ulichonacho Sasa hivi snitches ndani ya TISS wapo wengi Sana. Ukiona Snitch anakutolea taarifa jua yeye Hana na ana roho ya chuki tu kutaka kujua tu amevipataje