Mwisho wa unafiki wa Mengi!

vipi DIALO alikua fair pale star tv?hivi kiuhalisia uki evaluate taarifa za itv wakati wa uchaguzi na zile za star tv kituo gani kilibalance taarifa?huu sio muda wa mipasho na kujipendekeza kwa magufuli ni muda wa kazi.mbona magufuli yuko fair kwenye matmshi yake kuliko vidampa wa pembeni jamani?mengi unafiki wake ni upi sasa?
 
Usimuamshe alie lala ukimuamsha utalala wewe,huyu mleta hoja hii ana upungufu wa fikra
 
Unapomkuta Mzee wa miaka 76 beach na photo shop na babe wa miaka 35 wanapiga picha na kutuma kwenye mitandaoo ujue MTU mzima yupo chaka zamani...
 
Nyie mnabwabwaja tu kajitaftieni hela acheni kuleta ushuzi wenu huku .Mengi ni MTU makini zaidi ya ufikiriavo kilaza weye
 
Spencer Lameck na Emmanuel Buhoera ni kipimo kizuri cha fairness katika ITV, nahisi wote wawili walifanya kazi yao vizuri na bila kuelekezwa.
 
Jina lako ni Jingalao, huyu ni mfanyabiashara na hafungamani na upande wowote, ndio maana alikuwa akionesha mpaka mikutano ya Hashim Rungwe..na kama ukitaka kujua kweli wewe ni Jingalao pima hata dakika za airtime alizokuwa akipewa Magufuli compared na Lowassa wakati wa taarifa ya habari saa 2 usiku
 

kwa hiyo diallo alikuwa sawa kuibeba ccm vitu vingine ni kuviacha vipite taifa liendelee tumia vizur mtandao kuliko kueneza chuki na uchonganishi taifa linasonga mbele hata rafa anachezesha mpira lakin kuna timu aniaishabikia kwa kuwa nae ni binadamu hakuna mkamilifu
 

hata huyo magufuli wako hana ubavu wa kumgusa mengi kifup serikali ya ccm haina nguvu kwa wafanyabiashara wakubwa mtaishia kulialia nyuma ya keybod
 
Mengi ni mpuuzii sanaaaa tena saana dalali wa gesi nikumbuka statemt ya muhungo ndio maana natamani awe waziri mkuu ili atimue wawekezaji wababaishaji
 
Mkuu nisaidie emanuel buhohela aliekuwa anatembea na magufuli mda wote wa kampeni anatokea chombo gani cha TV maana mm ni mgeni kidogo
 

Umesema kweli mkuu. yani huyo mzee mwaka huu alizidi sana ni mnafiki sana. mungu atamlipa zaidi adhabu yake
 
Mengi akifilisika ni msiba kitaifa wa Unemployment (ajira). Kaajiri maelfu ya watanzania na usifikir serekali pia itambana ili afilisike saau ilo nyumbu we.

Serekali inategemea watu kama hawa kukuza uchumi na kupunguza unemployment rate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…