tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
tje kuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba kuna sayari zilizowahi kugongana? if yes hilo litawezekana!
wasabatho ndiyo wanaimani za namna hiyo mara nyingi, ata ukifuatilia 1843 waliwahi kutoa nyingi za mambo kama haya! ukwli ni kwamba ata sayansi za dunia zitaishia kuweka theory maana mwanasayansi mwenyewe Allah amue kwamba dunia inakwisha hizi nyingine propaganda za new world order!
Mathayo 24:36 - Kuhusu siku ile na saa ile hakuna mtu anayejua, wala malaika wa mbinguni wala Mwana, ila Baba tu.
utakua msabatho wewe!
mtoa mada wewe utakuwa umeiona sinema hiyo
tje kuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba kuna sayari zilizowahi kugongana? if yes hilo litawezekana!
aisee.....
Sure aiseeSiku ile hakuna anayeijua hata Mwana hajui lini itakuja ila Mungu peke yake ndiye ajuaye. La muhimu ni kuwa tayari muda wote kwani siku hiyo itatokea kama radi au mwizi. Hivyo yatupasa kukesha kama wale wanawali watano wenye busara.
kitu kikubwa mara nne ya dunia alafu kiweke tundu tenaa?
Mwana si ndiye huyu Yesu! Kumbe hajui jambo dogo kama hilo la mwisho wa dunia? Sasa mbona munamwita Mungu! Kweli makafiri hamujui mlitendalo, naomba Mwenyezi Mungu hawabariki muuingie kwenye neema ya uislamkwani ndio njia pekee ya kumuona Mungu wetu na manabii including mtume Yesu