MWISHO WA DUNIA umewasili

MWISHO WA DUNIA umewasili

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
kutokana na research yangu katika nyanja zote za kisayansi na kiimani nimepata muafaka kuwa mwisho wa dunia umewasili,ukiangalia upande wa sayansi ,wanasayansi wamefika tamati na kutengeneza movies kama 2012,the final hours,final destination,the armgedeon,under world,judgement day,et messages n.k sio kwamba ni wajinga wakapoteza billions of money kuwekeza katika very highly intellectual movies zinazotumia akili nyingi na mda mrefu sana kuzianda eti tu kwa entertainment na watu kuziona kwa muda wa masaa mawili ilhali imetumika kama miaka 7 au 10 kurelease,huu ni ujumbe wa kweli katika mfumo wa consipiracy kuwaonesha binadamu uhalisia ambao unakuja ,kuwafanya waone kawaida,wazoe na kujua ni jambo la nadharia,ukitizama game ya illuminati cards inaonesha everything mpaka tamati ila ni kama mchezo tu kumbe ndo kinachotokea,ukija katika imani iko very straight kwenye ufunuo kuhusu 666 na tunaelekea kutoka kwenye pesa kwenda kwenye electronic cards and numbers as 666 marks in order to buy and sell THANKS
 
Mwisho wa dunia ni ile siku utakayofariki. Huo ndio ukweli usiopingika. Hakuna cha conspiracy, sijui armageddon wala nini.
 
Haha hahaha akili za wazungu changanya na zako mkuu
 
Kama hujui wewe si pumbavu unanyamaza wanasema wanaojua? Kwani lazima useme? Au kakuita ulete umbweha wako wa kishatuani hapa? Pumbavu kweli kweli.
 
its a serious clue take my note things are changing rapidly mpaka naogopa ,bible is my cage dont think nuclear can penetrate inside that cage hehe
 
Kama hujui wewe si pumbavu unanyamaza wanasema wanaojua? Kwani lazima useme? Au kakuita ulete umbweha wako wa kishatuani hapa? Pumbavu kweli kweli.
Lugha yako tu inaonyesha jinsi akili yako ilivyopinda.
 
Watu wemekuwa wakisema hivyo hivyo kwa karne zaidi ya elfu lela ulela.

nipe sababu moja tu kwanini kusiwe na mwisho wa dunia yaani hauwezi tokea nikujibu
 
Don Moen
"When It's All Been Said And Done"

When it's all been said and done
There is just one thing that matters
Did I do my best to live for truth?
Did I live my life for you?

When it's all been said and done
All my treasures will mean nothing
Only what I've done for love's reward
Will stand the test of time

Lord, your mercy is so great
That you look beyond our weakness
And find purest gold in miry clay
Turning sinners into saints.
Hallelujah

And I will always sing your praise
Here on earth and ever after
For you've shown me heavens, my true home
When it's all been said and done
You're my life when life is gone...

​

nipe sababu moja tu kwanini kusiwe na mwisho wa dunia yaani hauwezi tokea nikujibu
Kwa sasa unao wakati mwingi wa kutafiti maisha. Utakapoanza kuzeeka utanielewa vizuri tu. Dunia hii ipo na utaiacha kama ilivyo.
 
Yalisha semwa mengi kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia na kwamba na computer zitazima lakini ilifika na imepita sasa miaka 15 hakuna lolote jipya hivyo, hakuna ajuae siku wala saa kikubwa ni get ready any moment it may be 2morrow au hata after another karne
 
naongelea mwisho wa dunia kama dunia na vyote vilivyomo ndani yake kuangamia sio kufa kwangu maana kufa ni sheria huwezi kwepa
 
Yalisha semwa mengi kuwa mwaka 2000 ndo mwisho wa dunia na kwamba na computer zitazima lakini ilifika na imepita sasa miaka 15 hakuna lolote jipya hivyo, hakuna ajuae siku wala saa kikubwa ni get ready any moment it may be 2morrow au hata after another karne

mkuu dalili ni nyingi sana juzi tu et messages zilitumwa nasa kama onyo na aliens wakiwaambia dunia ukweli kuhusu dunia yetu ,ufalme wa kishetani,vita,magonjwa na kuishi katika makundi ,kutumia pesa n,k wakawaambia utawala wa dunia ni wakishetani wamaintain peace and love,wakasema wao wanapita na hawajatumwa na yeyote na sasa imekuwa si siri kwa wachunguzi just go find et messages,zisome,history of papacy,rome,world war 3 kama una best thinking uta excute ukweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom