Mwisho wa Bunge la Katiba Kifo cha CCM

Mwisho wa Bunge la Katiba Kifo cha CCM

CCM bado haitafika mwisho Bunge Maalum la Katiba likimaliza kazi, kama unabisha subiri uone UKAWA watakavyoaibika!
Hebu ngoja uone jinsi mambo yatakavyokuwa kinyume na unavyodhani! Time will tell!
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao.......sijui nepi, asira, zengwe, kinanda, lusuvi yule mvaa eleni mvifile, tisa, kitonga, juni kezo na wengine wataficha wapi sura zao
 
ndio tatizo la mungu yaani ukishamtenda dhambi ile dhambi inageuka kuwa laana!! Na laana hio hua haiiishi hadi pale utakapotubu kwa kumaanisha. Na ukizidi kushupaza shingo ndivyo unavyoukaribisha mwisho wako. Mungu ibariki tanzania

mungu anatatizo gani? Umelewaa au umevu.......?
 
Back
Top Bottom