MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Kila kukicha Mamilioni ya shilingi hupanguka na kuingia kwenye mifuko ya watu wanaojiita Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba kama posho.
Picha nzima ya Bunge hili na Changamoto za chaguzi mbali mbali zilizo mbele ni ishara tosha kabisa kwamba hata kama Wabunge wa Ukawa wangekuwepo Bungeni, Bado dalili za kutofikia mwisho mwema zingekuwepo kutoka na muda uliobakia.
Wenye Nguvu ya bunge kwa sasa CCM kwa sababu Rais wa Nchi ndiye mwenyekiti na Chama na ndiye aliyeridhia kuanzishwa mchakato wa Katiba mpya.
Mvutano unaozidi siku hadi siku wa kusitisha Bunge la Katiba kwa sababu mbali mbali za Msingi, ni shida kwa CCM ambao tayari wamebariki mchakato mzima kuendelea bila kujua kuwa wao si wamiliki wa mchakato huo.
Kujiliwaza kwa hisia za ushindi katika hoja ya kutetea na wale wasio na utashi wa kutetewa na CCM ni shida ambapo maridhiano ya Utanzania yameshindikana na wameweka pazia mithili ya kioo kwamba hawaoni na wala hawasikii ili hali uhakika wanaona safari nzima ilivyo.
Sababu kubwa ya Ushindi kwa upande mdogo i wazi na siku inakuja ya kukoma kwa Bunge la Katiba na hapo CCM watakosa hoja ya msingi ya kujitetea kwa wananchi wakati lawama za kufuja pesa za walipa kodi zitakuwa ndiyo fimbo ya kumchapa asiyesikia.
CCM MWISHO WA BUNGE LA KATIBA NDIYO KIFO CHENU..DALILI YA KATIBA HAMNA......