Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 423 Reaction score 90 Dec 6, 2017 #1 Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari. Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja. Labda ni katika jitihada za kurekebisha mambo.........nawaza kwa sauti.
Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari. Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja. Labda ni katika jitihada za kurekebisha mambo.........nawaza kwa sauti.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,728 Reaction score 99,586 Dec 6, 2017 #2 Kufukuza watu sehemu bila sababu ni katabia ka-uchoyo.Hakafai hako katabia
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,361 Reaction score 77,179 Dec 6, 2017 #3 Tanganyika1 said: Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari. Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja. Labda ni katika jitihada za kurekebisha mambo.........nawaza kwa sauti. Click to expand... Hebu fafanua mkuu hapo kwenye kodi mwezi mmoja, ni kodi ya mapato au chumba? Umeandika kama vile wote tunajua.
Tanganyika1 said: Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari. Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja. Labda ni katika jitihada za kurekebisha mambo.........nawaza kwa sauti. Click to expand... Hebu fafanua mkuu hapo kwenye kodi mwezi mmoja, ni kodi ya mapato au chumba? Umeandika kama vile wote tunajua.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,903 Dec 6, 2017 #4 CCM ndiyo akili zao za kienyeji.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,076 Dec 6, 2017 #5 Badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake yeye anatamani yawe mabaya zaidi. Kweli kiongozi aliyepungukiwa akili hutesa sana watu wake. Mithali 28;16. Biblia haidanganyi
Badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake yeye anatamani yawe mabaya zaidi. Kweli kiongozi aliyepungukiwa akili hutesa sana watu wake. Mithali 28;16. Biblia haidanganyi