hahahaahaaa hahahaaa hahahaaa hebu tuone mpwa mimi nawe nani atachemsha leo
Mungu hapendi uongo hapa nilipo na huko muda ni samesame mpwa
Mkuu hata wee funguka tu, mbona upo kwa jamaa wa vimacho vidogo.Mungu hapendi uongo hapa nilipo na huko muda ni samesame mpwa
Ehe kwaheri ligi imenishinda mpwa hapa hakuna fairplay
Nisalimie wa ndotoni mpwa
polen upo antactica niniLol takulipisha fine...!huku ni mva na baridi mwanzo mwisho mpaka muda huu jua halijaonekana