Mwisho kamili wa simu za Nokia

Kijiji cha Nokia nadhani ndio kijiji maarufu kuliko vijiji vingi Uholanzi. Kwa heri nokia
 
Hii yangu nokia 5310 xpress music ntaiweka kama kumbukumbu....tutazoea tu.
 
kwani hawa microsoft waliinunua nokia kwa mkataba wa miaka mingapi!?

Mkuu ukinunua kitu au bidhaa, hatimiliki ni yako hakuna suala ya mkataba wa kumiliki.
MICROSOFT inamiliki hiyo Company ya utengenezaji cmu za Nokia, mpk hapo itakapoamua kuiweka sokoni...,
 
Ngoja ni nunue Nokia ya kumbukumbu maana hata hii tochi niliyo nayo ndani imeandikwa microsoft
 
Nokia hakuwa threat yoyote ya maana kwa MS!!
 
wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?

Mkuu sijakuelewa vizuri, nadhani keyboard yako ina matatizo kidogo!
 
Mkuu sijakuelewa vizuri, nadhani keyboard yako ina matatizo kidogo!

You are very right mkuu, ndio maana nikaandika upya baada ya ya kuandika, baada a editing kushindwa kupostika.
 
wamba micosoft wamennua fctions Fulani zaNokia ili wazite kweny biashra zao nakumfanya Nokia afny shughulizngi kaha hiz alizoa; kishaMicrooft wanfut atumizi yamanunuzi yake ilali Noki hfanyi tena. Huoni ndiomwzo wa mwiso waNOia?
CYBERTEQ usiwe unauliza maswali wenzio huku unachezechezea bastola,ona sasa ulivyomfanya zaleo!
 
Nokia hakuwa threat yoyote ya maana kwa MS!!
Huwezi kujua mkuu, makampuni makubwa hufanya utafiti kabla ya kuchukuwa hatua kama waliyoifanya, hata kama ni charity kwa kuwa entrepreneur yeyote anaangalia faida kwanza na hukwepa hasara yatokanayo na uamuzi wowote kibiashara.
 
CYBERTEQ usiwe unauliza maswali wenzio huku unachezechezea bastola,ona sasa ulivyomfanya zaleo!
Kweli kuu, ingawa sijaelewa hiyo bunduki ni ya aina gani, key board yangu ina kiherehere sana.
 
Complicator nini ambacho hujaelewa ?....simu zenye WINDOW v/s zenye ANDROID ..haya mzogoaji nini kingine huélewi?

blackberry sio WINDOWS PHONE.. hata hizo nokia zenye microsoft WINDOWS OS ni hizi za hivi karibuni (lumias n the like).... previously zilikuwa zinatumia symbian tech na meego..
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…