Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,064 Reaction score 69,486 Nov 6, 2012 #21 Mzee wa makofi kafurahi sana.
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,470 Reaction score 9,053 Nov 7, 2012 #22 Tbag Hatari said: una akili saana kijana!! nimetazama kwa jicho la tatu pozi zao na jinsi mr.prezidentee alivokua na bashasha usoni.. Click to expand... na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwa
Tbag Hatari said: una akili saana kijana!! nimetazama kwa jicho la tatu pozi zao na jinsi mr.prezidentee alivokua na bashasha usoni.. Click to expand... na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwa
JICHO LA TATU JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 306 Reaction score 49 Nov 7, 2012 #23 Halafu mzee Ruksa mkao wake kama hana uhakika yaani muda wowote anaweza kunyanyuka
N Nkwama welding Member Joined Oct 2, 2011 Posts 61 Reaction score 12 Nov 7, 2012 #24 "Welcome king of pops to Tanzania,please feel at home!" "Thank you Mr.president it is my pleasure to be here......"
"Welcome king of pops to Tanzania,please feel at home!" "Thank you Mr.president it is my pleasure to be here......"
TWIZAMALLYA JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 397 Reaction score 81 Nov 7, 2012 #25 Nazjaz said: jamani, kumbe hii ni laana ya kurithi, sijui tufanyeje ili kuitokomeza Click to expand... kwani mnaongelea nini tena?
Nazjaz said: jamani, kumbe hii ni laana ya kurithi, sijui tufanyeje ili kuitokomeza Click to expand... kwani mnaongelea nini tena?
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Nov 7, 2012 #26 lukindo said: na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwa Click to expand... ha ha ..kaaziii kweli kweli..
lukindo said: na hapo mkuu kuna zile 'protocali' za kulaunch conversations, sijui anaanza kwa kuambaia 'hawa yuu' ...... kazi kweli kweli itakuwa ilikuwa Click to expand... ha ha ..kaaziii kweli kweli..