Mwinyi high school

rwaigjr

New Member
Joined
May 5, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Wadau anayeifahamu vizuri shule ya Mwinyi high school naomba anielezee
 
IPO mkuranga mjini,ina michepuo sikosei miwili CBG na HG....nauli 1000 kutoka mbagala rangi tatu hadi mkuranga.unatumia kama 30 minutes kufika ukitokea mbagala.ina kidato cha kwanza hadi cha sita.A- LEVEL Boys na boarding,O-LEVEL mchanganyiko na kutwa,watoto wa pale pale mkuranga,
 
Inaitwa Bara bara ya mwinyi ipo mkuranga ina comb mbili tu yani CBG na HGK.
 
Kuna mtu anaweza kunipa mawasiliano ya pale kwa sababu ningependa kujua utaratibu wa kujiunga na maswala yanayohitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…