GE2025 Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini

GE2025 Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti UVCCM Morogoro achukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi la uchukuaji fomu kwa watia nia, Mwinshehe Adam Yange Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Morogoro amechukua fomu ya jimbo la Morogoro Mjini kupitia CCM.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Yange anaenda kuchuana na mbunge anaetetea nafasi yake, Mhe Abdulaziz Mohamed Abood ambapo amesema anaamini Morogoro Mjini inahitaji damu changa ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi na kuahidi atashirikiana na wanachi katika kufanya jimbo hilo lipate maendeleo.
Screenshot 2025-06-28 215034.png
 
Mhh, kwa morogoro ninayo ifahamu kumbwaga Abdul Aziz Abood ni ngumu .
 
Back
Top Bottom