Mwingulu nchemba huu ndio ukweli.ambia taifa ukweli

Mwingulu nchemba huu ndio ukweli.ambia taifa ukweli

Joined
Dec 4, 2012
Posts
33
Reaction score
3
Hivi nchemba unakumbuka miaka ya 1980's Dr slaa alikua mwanachama c c m na alikihama miaka ya tisini baada ya kuenguliwa kuwania nafasi ya ubunge karatu.kitendo cha dr slaa kujiunga upinzan kirimkera sana mwalmu nyerere nukuu akihutumbia c c m 1995''kitendo cha kumuacha huyo kijana (dr slaa)aondoke atakuja kuwasumbua sana na lazima atakuja kuwa rais wa tz.hivyo dr alianzisha Red brigdage akiwa c c m ama chadema coz baada ya kumaliza masomo dr slaa alikua kada wa c c m ,kwasababu post yako utaka kutuaminisha slaa alijiunga chadema moja kwa moja baada ya kutoka masomo ITALY
 
Anajua basi haya mambo.....UDSM walipata hasara tu...
 
amezoea kutudanganya mara kwa mara ,aje ajibu si kuzunguka tu musa tesha kuhubiri maovu ya chama chake
 
Back
Top Bottom