Mwingine Aibuka Mbeya

Kijallo

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
409
61
Mtu mwingine anajitambulisha kama Jafari Fikiri,ameibuka na kutibu magonjwa sugu.anasema yeye anagawa vikombe viwili bure,na ndivyo alivyoambiwa na mizimu yake.Yuko ktk eneo la Mabatini.Watu ni wengi mno
 
Tahadhali mbeya kila nyumba ni dhehebu!!!!!!!!!!!. Ndio mkoa wenye madhehebu mengi ya dini ya kikristo
 
Hawa wanyakyu wasituchezee,
Mbona haka kamchezo wamekapenda?
 
Mtu mwingine anajitambulisha kama Jafari Fikiri,ameibuka na kutibu magonjwa sugu.anasema yeye anagawa vikombe viwili bure,na ndivyo alivyoambiwa na mizimu yake.Yuko ktk eneo la Mabatini.Watu ni wengi mno
Heh heh tulishasema hapa mambo ya babu ni maigizo,mwishowe hata mimi nitasema nimeoteshwa na dawa yangu watakuwa wanagawa akina dada wa pale Jolly,mimi nitatoa nusu kikombe kwa bei ya Tsh 200 tu usipime
 
Tutashuhudia mengi.

We acha tu! Hata BAK akitamka leo hii kaoteshwa kwamba kuna mizizi ukichemsha na kutia maziwa ya mbuzi kidogo LOL! halafu ukanywa basi kama una gonjwa sugu lolote lile litapotea kabisa basi Wabongo watazuka tu tena kwa makundi makubwa! na BAK kujitengezea mchuzi kiulaini kabisa Aaaaaarrrrrrrrghhhhh! kazi kweli kweli!

YouTube - Katy Perry - Firework
 
Back
Top Bottom