gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 73
Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano.
Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa kwenye upande wa kuipendezesha chorus ya wimbo hili wimbo uwe na mvuto nipo kwa ajili ya kazi hiyo.
Kwani kwa kawaida chorus inahitaji high energy/power zaidi ya verse hili wimbo uvutie mfano wa wimbo wa man in the mirror by lili Wayne feat Bruno mars.hilikuwa nilazima hili wimbo upendeze lazima Wayne amtafute math mwenye uwezo wa kuipa energy chorus,nakiukweli wimbo ule unavutia kupia chorus. Ni kwa style zote za muziki.Gospel,Bongo flava.Pop,Rnb Nk.
Nipo Dar Es Salaam,Temeke Taifa. Kwa mawasiliano 0725907454.