R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 1,448 Reaction score 2,100 Oct 17, 2025 #1 Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ukiwa ukiagwa Bungeni kabla ya kuhamishiwa katika Uwanja wa Nyayo kwa Ibada ya Mazishi ya Kitaifa Soma pia TANZIA - Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo Winnie Odinga: He died in my arms, but not in the way people have been saying on social media, he left as a gentleman, strong and with pride
Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ukiwa ukiagwa Bungeni kabla ya kuhamishiwa katika Uwanja wa Nyayo kwa Ibada ya Mazishi ya Kitaifa Soma pia TANZIA - Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo Winnie Odinga: He died in my arms, but not in the way people have been saying on social media, he left as a gentleman, strong and with pride
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,094 Reaction score 102,605 Oct 17, 2025 #2 Aisee, Ama kweli thamani ya Binadamu ni uhai wake tu, Uhai ndio kila kitu, Ukiuangalia mwili ni yule yule Raila Odinga,ila kwa vile mwili huo umekosa uhai,basi kilichobaki ni kufukiwa chini tu na kwenda kuoza! R.I.P
Aisee, Ama kweli thamani ya Binadamu ni uhai wake tu, Uhai ndio kila kitu, Ukiuangalia mwili ni yule yule Raila Odinga,ila kwa vile mwili huo umekosa uhai,basi kilichobaki ni kufukiwa chini tu na kwenda kuoza! R.I.P
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,069 Reaction score 184,792 Oct 19, 2025 #3 Pole yao sana wafiwa... Cc: Mahondaw
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,812 Reaction score 40,299 Oct 19, 2025 #4 Kenya namna yao ya kuaga mwili inatisha sana Yani mwili mzima unakuwa wazi so happened to Kenyatta Moi nk
Kenya namna yao ya kuaga mwili inatisha sana Yani mwili mzima unakuwa wazi so happened to Kenyatta Moi nk
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 7,708 Reaction score 14,367 Oct 19, 2025 #5 Jamaa nikajua amekondaaaaa kumbe yupo vilevile