Mwili wa Kijana wakutwa chini ya Lift Posta House

Mshirazi

JF-Expert Member
Dec 8, 2009
444
170
Mwili wa kijana mmoja ambae hajafahamika umekutwa chini ya lift katika jengo la Posta House.

Muda mchache uliopita wafanyakazi wa city wameweza kuutoa mwili huo ambao tayari ulishaanza kuharibika na kutoa harufu kali.

Bado haijajulikana marehemu alifikaje chini ya lift ambapo wataalamu wa mambo ya lift wanasema sehemu aliyokutwa hawezi kufika mtu ambae hana special Key ya kufungulia milango ya lift.
 
sijui alifata nini huko masikini.anyway bwana alitoa na bwana ametwaa
 
Back
Top Bottom