"Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

Hawawezi kuzikuta na wakibahatika kutoa vi nusu karatasi vyao watoe vishilling vyao na sio dolla zetu.

Watu wametoa povu eti ni kufuru kwani waliziiba? Wacha ya mungu yaende kwa mungu na za kaisai yaende kwa kaisai.

Kwanu situ, geneza na kaburi si vinatengenezwa kwa pesa mbona hizo haziwaumi?

Je wangeziweka ndani ya geneza wakakuta mtu alisaoza wanazitoa?

Wawe makini wataambulia buleee tusubiri.
hii sasa ni dharau bora zifukuliwe
 
Dah hii movie nzuri sana aseeee ngoja ninunue data bundle la mwezi maana dah fulu interesting
 
Biashara ya viungo vya biandamu SA sasa imekuwa mpaka ya kuuza miili ya watu ili kypoteza ushaidi.
Anyway ni mawazo tu ya mwendawazimu,na hii inathibitisha ya kwa Sisi Wafrika si watu wa kuamini amini sana.
 
Kitu nilichojifunza katika msiba huu ni kuwa sikuwahi kuwaza kama Waganda wanatuzidi kwa UNAFIKI, UJINGA na UZUSHI uliokithiri!!sikuwahi kuwaza kama Waganda ni waongo kiasi hiki!?

Yaani msiba wa Ivan waganda wameufanya biashara kubwaa!!wanaandika uongo wote ili mradi tu magazeti yanunuliwe na blogs zao zisomwe!!so sad yaani!!
Hiyo picha ni photoshoot tu!ila walivyoikomalia utadhani ni habari za ukweli!!na wabongo sisi Uongo ukiandikwa kwa Kiingereza tu basi unakuwa ukweli asilimia 100%!!!Ukitaka kumdanganya Mtanzania basi mwandikie Habari kwa kiingereza na uweke na viasilimia hapo basi wee atakuamini kwa asilimia zooote
 
Uwongo! Wakenya ndiyo wanapenda kuamini vitu vilivyo andikwa in English! Waswahili sisi ni watu wa kujiamini na tuna hekima na busara!
 
Nilimwambia mtu mmoja hapa hizo fedha ztafukuliwa kwa amri ya mahakama. Ninachoshindwa kufahamu ni km hawa waliofikia uamuzi wa kumzika Ivan na fedha hawakujua kama hili jambo halikubaliki? Just a such a simple mind hawakujua?
zimemwagiwa shampaigne sijui zitakua salama......
 
Mimi kuna kitu kidogo kimenitia mashaka hizi story inaweza kuwa labda sababu unajuwa watoto hawajui uongo sijaona hata sehemu moja watoto hata wakitoa machozi tu na sio rahisi kufiwa na mzazi usilie mtu mzima tu utalia ila watoto picha zote wako very relax. sina uhakika ila nasema haya yanawezekana.
In fact picha nyingi zinaonyesha wakicheka. Hadi kuna video wanakemewa kucheka
 
Back
Top Bottom