"Mwili" wa Ivan uliingia Uganda kwa jina la Ally, Interpol wataka kaburi lifukuliwe

wanasema eti alibadili dini na kuwa muislam .mbona alizikwa kikristo?
Con men wana dini ya kueleweka kweli? Akitaka kuoa dini Ile anajiunga nayo. Akitaka kulindwa na dini ile anaenda huko pia..
Akitaka favor za dini Ile kule pia ataenda. Sanaa katika ubora wake
 
Back
Top Bottom