Dar Es Salaam.
Member
- Oct 29, 2010
- 25
- 7
Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
Tumia Dawa hii itaweza kukusaidia inshallah.Natumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
DuuuhPima kwanza halafu kunywa maji hai yaani bio water yaliyotengenezwa na bio disc.
Unique
Mkuu mi mwenyewe nimesoma prescription zao nikaogopa kidogo. Ni kama washajua tatizo na wameenda moja kwa moja kwenye tiba wakati symptoms sio ugonjwa in most cases. Hatari sana. Anyway....Utatoaje ushauri wa tiba kabla haujafahamu uchovu unasababishwa na nini? Au ndiyo haya matibabu ya kubahatisha? Nashindwa kuelewa.
Kagua godoro lako utakuwa na kungunu nyumba kwako..
Koz kunguni husababisha ugonjwa wa usingiz.
Achana Na punyeto ndugu yangu, inakuharibuNatumai muwazima wana jf,nimekuwa na tatizo ambalo sielewi linasababishwa na nn,nasikia uchovu sana kiasi cha kuhisi kama naumwa na tena muda mwingi nakuwa najisikia kulala,naomba msaada madaktari.
Aiseeee........[emoji15] [emoji15]Achana Na punyeto ndugu yangu, inakuharibu