Mwiko katika biashara

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,078
Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa...

Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni wamelizonga duka na husikiliza kila mteja anachohitaji...kwa mfano nipimie mchele nusu....pembeni kuna bodaboda wambeya wanasikiliza..
 
Duka lazima liwe mbali na maskani ya watu hasa vijana.
 
N kwel nmewahi kumpa ushaur kjn flan saluni yake wanajaa vjn jobless wanachek TV kuna baadhi ya wateja huwa wanataka privacy....soo anaona wanaenda saluni yaa mbele zaid
Ni sawa tu na salon za kike, unakuta mtu amejaza wadada eti mashoga zake, halafu wamejitanua tanua ofisini kwake, umbeya na kelele juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…