Mwijaku kawazidi PhD holders?

Mwisho wa siku Kila mtu anachagua kile anachotaka bila kujali elimu yake maana huku mtaani kinachofanyika ni KUTAFUTA HELA na NAMNA YA KUTUMIA, hivyo Kila mtu anaingiza ela ila tunatofautiana vipaumbele na namna ya kuzitumia hela
 
Unapaswa kujua kuna aina tofauti za investment, sio kila mtu ana target ya ku invest kwenye ujenzi wa nyumba

Lakini pia ukubwa wa elimu haifanyi mtu kubwa tajiri, tukiwa na mentality kuwa elimu kubwa ndio kubwa tajiri hili nalo ni tatizo juu ya tatizo. Elimu haifanyi riziki yako ya kipato iwe, msifundishe wangu kuiba
 
Unawajua PHD holders wangapi na wana jali gani ??.....

Isije kuwa unawaongelea PHD holders lakini kwenye mizunguko yako humjui hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…