Mwijage na Yusuph rasmi wajiunga na West Armenia

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Hatimaye timu ya West Armenia inayoshiriki ligi kuu ya Armenia imewatambulisha wachezaji wawili wapya kutoka Taifa la Tanzania ambao ni Eric Mwijage na Yusuph Athuman.

Yusuph Athuman kabla alikuwa mchezaji wa Mabingwa wa Soka la Tanzania Yanga na Eric Mwijage akitokea timu ya Kagera Sugar ya Kagera.

png_20230728_062215_0000.jpg
 
Duh! Kweli kila mtu ana bahati yake!!

Yusuph Athuman hata namba tu alikuwa hapati pale Yanga, kiasi cha kupelekwa kwa mkopo Coastal Union! Na ambako pia ali struggle sana msimu uliopita! Walau Eric Mwijage alikuwa na muda mwingi wa kucheza kule Kagea Sugar!!

All the best kwao.
 
Hizo ndio timu wanacheza nazo pre season, wajukuu wa Mangungu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom