ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Kabla ya Mwijage kumjibu, Kubenea alisema kuwa kuna baadhi ya viwanda nchini kikiwemo cha Urafiki na EPZ ambavyo vimekuwa na matatizo, hivyo alitaka kujua ni lini Serikali itatatua matatuzo yaliyopo kwenye viwanda hivyo.
“…Mwenye shiba hamjui mwenye njaa,”amesema Mwijage na kuongeza;
“Urafiki na EPZ vinatoa ajira kwa vijana wengi licha ya changamoto kadhaa zinazowakabili. Lakini kama kuna aliye mbaya mlete kwangu.”
Chanzo: Mwananchi