johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,099
- 164,473
Amesema mchawi hayuko mbali hivyo atashughulikiwa kikamilifu, na kuwataka wananchi wa Kibiti kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.Source ITV Habari
umekimbilia kuleta mada humu ambayo haina nyamaAmesema mchawi hayuko mbali hivyo atashughulikiwa kikamilifu, na kuwataka wananchi wa Kibiti kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.Source ITV Habari
Nyama kesho gazetiniIme
umekimbilia kuleta mada humu ambayo haina nyama
Ben Saanane?
WivuWataruhusu yepi?
Kafanyaje?Ben Saanane?
Amesema mchawi hayuko mbali hivyo atashughulikiwa kikamilifu, na kuwataka wananchi wa Kibiti kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.Source ITV Habari[/Qhawa viongozi sijui wanafikiri kutumia nini,jana polisi wanatoa list ya watu walio uwa polisi na kusema ndiyo wahusika,huku wameuwa vijana karibu hamsini wakisema ni wauwaji,unajua tunafanya mchezo na amani hii nchi,kama kuna kupotea amani hii nchi basi polisi ndiyo watakae poteza,vijana wakishukiwa wanauwawa kama mbuzi,juzi mzee moja analalamika anasema toka mwaka huu uanze kuna vijana karibu 100 wameuwawa au hawajulikani waliko toka kukamatwa kwao,imam anauliwa inasemekana jambazi, sijui tunakoelekea tena.
OlasiteAmesema mchawi hayuko mbali hivyo atashughulikiwa kikamilifu, na kuwataka wananchi wa Kibiti kuendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.Source ITV Habari
Ben Saanane?
yuleBen Saanane?
yule Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo,wale walimuuwa kikatili iliishia vipi?tujulisheni wenye habari yoyote.Ben Saanane?
Kwani Kibiti ni ngome ya chama gani maana waxiri amesisitiza wananchi waachwe watumikie vyama wanavyovipendaMbona tunasikia kuwa kama umefuga ndevu,umevaa kanzu na kilemba ukawa unaelekea mtwara hutoboi wakati hii pwani ya afrika ya mashariki tokea karne ya nane wenyeji wake walikuwa wanajivalia tu mavazi bila ya khofu yoyote,mpaka mreno alipotia timu,fitna ikaanzishwa na wakoloni wa kijerumani